Home » News & Politics » VITA MADAWA KULEVYA: Sianga akabidhiwa majina na makonda, afunguka

VITA MADAWA KULEVYA: Sianga akabidhiwa majina na makonda, afunguka

Written By Mwananchi Digital on Monday, Feb 13, 2017 | 10:39 AM

 
Kamishna wa kupambana na madawa ya kulevya Rogers Sianga, leo amekabidhiwa majina ya washukiwa wa madawa ya kulevya na mkuu wa mkoa wa dar es salaam na kusema kuwa watakao bainika kuchukuliwa hatua kali