Home » News & Politics » Sauti ya Wema Sepetu iliyosambaa akiwatoa hofu Mashabiki

Sauti ya Wema Sepetu iliyosambaa akiwatoa hofu Mashabiki

Written By Millard Ayo on Saturday, Feb 04, 2017 | 02:30 PM

 
Mwigizaji Wema Sepetu ni miongoni mwa watu maarufu wa Tanzania waliotajwa kwenye orodha ya mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda kwamba wanatuhumiwa kuhusika na ishu ya dawa za kulevya.