Home » Education » Mfanyabiashara Yusuph Manji afikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu

Mfanyabiashara Yusuph Manji afikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu

Written By ITV Tanzania on Thursday, Feb 16, 2017 | 12:26 PM

 
Mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na shitaka moja la kutumia dawa za kulevya.