Home » News & Politics » Kwanini Kitale hataki tena kuitwa Rais wa Mateja

Kwanini Kitale hataki tena kuitwa Rais wa Mateja

Written By Millard Ayo on Tuesday, Feb 21, 2017 | 05:43 AM

 
Mwigizaji/Mchekeshaji Kitale yupo na sisi time hii kutueleza kwanini ameamua kukataa asiitwe tena Rais wa Mateja kama ambavyo amekua akiitwa kupitia sanaa yake ya Uchekeshaji.