Home » News & Politics » HEKAHEKA: Watoto wawili wa eneo moja DSM wabakwa, yadaiwa kuna jamaa anawabaka

HEKAHEKA: Watoto wawili wa eneo moja DSM wabakwa, yadaiwa kuna jamaa anawabaka

Written By Millard Ayo on Wednesday, Feb 15, 2017 | 06:49 AM

 
Leo February 15 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM, imesikika hekaheka kutokea Karakata Dar es salaam ambapo inadaiwa kuna jamaa ambaye akipita mtaani anawachukua na kwenda nao kuwafanyia vitendo hivyo. Bonyeza play hapa chini kusikiliza full stori.