Home » News & Politics » HEKAHEKA: Mbwa alivyosababisha majirani kumwagiana uji wa moto

HEKAHEKA: Mbwa alivyosababisha majirani kumwagiana uji wa moto

Written By Millard Ayo on Wednesday, Feb 08, 2017 | 08:25 AM

 
Leo February 8 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Mtangazaji Geah Habib ametuletea hekaheka kuhusu mbwa aliyesababisha majirani wamwagiane uji wa moto baada ya kero ya kuwabwekea watoto wa Jirani, mama mwenye watoto ambaye pia ni mwenye eneo lote kabla hajamuulizia lolote jirani yake mwenye mbwa, alimwagia uji baba huyo.