Home » News & Politics » Alikiba Interview kwa Dj Sbu BreakFast Show Jo'burg South Africa

Alikiba Interview kwa Dj Sbu BreakFast Show Jo'burg South Africa

Written By Millard Ayo on Friday, Feb 24, 2017 | 04:07 PM

 
Ni Interview aliyofanyiwa mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba kwenye kituo cha Radio cha Johannesburg South Africa kiitwacho Times Media Group. Alikiba alihojiwa kuhusu ishu mbalimbali zikiwemo za muziki wake na show yake inayofanyika leo Taboo Club.