Home » News & Politics » Masaibu ya familia ya mama aliyejifungua watoto wanne

Masaibu ya familia ya mama aliyejifungua watoto wanne

Written By Citizen TV Kenya on Saturday, Jan 14, 2017 | 12:21 PM

 
Katika mwaka wa 2014, Runinga ya Citizen ilikuletea taarifa kuhusu mama Esther Lusweti aliyebahatika kujifungua mapacha wanne kwa mpigo katika kijiji cha Mungachi kaunti ya Bungoma, lakini miaka minne baadaye, maisha ya familia hiyo yamesalia tu kuwa ya dhiki. Esther alikuwa na watoto wengine wawili kabla ya kujifungua hao wane. Mwanahabari wetu Hassan Farah anaarifu zaidi. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenya