Home » News & Politics » AyoTV GEITA: Muokoaji asimulia mbinu walizotumia kuokoa watu 15 waliofukiwa

AyoTV GEITA: Muokoaji asimulia mbinu walizotumia kuokoa watu 15 waliofukiwa

Written By Millard Ayo on Sunday, Jan 29, 2017 | 01:10 PM

 
Wachimbaji 15 walifukiwa kwenye mgodi wa RZ Geita Tanzania na kukaa kwa zaidi ya siku 3 ambapo wengi waliosikia habari hizi waliamini tayari Wachimbaji hao wamefariki sababu muda waliokaa ndani ni mrefu lakini kumbe haikua hivyo. Sasa baada ya Wachimbaji hao kuokolewa leo, AyoTV na millardayo.com zimempata muokoaji aliyeshiriki tangu zoezi linaanza.