Home » News & Politics » Waziri Mkuu, Waziri Nape walivyoshindwa kujizuia na kumwaga machozi mazishi ya Samuel Sitta

Waziri Mkuu, Waziri Nape walivyoshindwa kujizuia na kumwaga machozi mazishi ya Samuel Sitta

Written By Millard Ayo on Saturday, Nov 12, 2016 | 11:59 AM

 
November 12 2016 yamefanyika mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel John Sitta aliyefariki dunia November 7 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani. Mazishi hayo yamefanyika Urambo Tabora kwenye eneo la makaburi ya ukoo wa Sitta ambayo yapo takribani km 2 kutoka nyumbani kwake.