Home » Entertainment » Bitele na lahaja gongana Kipemba na Kimakunduchi kinagongana- Vituko vya Zanzibar

Bitele na lahaja gongana Kipemba na Kimakunduchi kinagongana- Vituko vya Zanzibar

Written By Mau Mpemba on Friday, Nov 25, 2016 | 12:56 AM

 
Bitele, Arifu katika kiswahili gongana Kuhusu sisi: ZMOTION STUDIOS inajihusisha na utengenezaji wa filamu za kiswahili, matangazo, na video fupi za vichekesho na vituko mbali mbali. Ukijiunga na chanali yetu kwa kubonyeza 'Subscribe' utakua miongoni mwa wanaopokea ujumbe wa barua pepe kila tunapoweka video mpya, pia utapata fursa ya kujishindia zawadi ya mwaka ukiwa utakua mfatiliaji mzuri unae 'share', 'like' na kukoment katika video zetu. Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO -Mau Mpemba -Makame Nuhusi http://facebook.com/zmotionstudios -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "MAKAME NUHUSI ANAHONGA KIWANJA ZANZIBAR (FUMANIZI)" https://www.youtube.com/watch?v=Fpw681pSXQg -~-~~-~~~-~~-~-