Home » People & Blogs » WAZIRI WA ARDHI MH. LUKUVI AZIMA NDOTO ZA WAKAZI WA SOGA, KAZAMOYO KUWEKA MAKAZI HAPO

WAZIRI WA ARDHI MH. LUKUVI AZIMA NDOTO ZA WAKAZI WA SOGA, KAZAMOYO KUWEKA MAKAZI HAPO

Written By BILL MEDIA on Saturday, Oct 22, 2016 | 09:23 AM

 
WAZIRI WA ARDHI MH. LUKUVI AZIMA NDOTO ZA WAKAZI WA SOGA, KAZAMOYO KUWEKA MAKAZI HAPO Na Omary Mngindo, Soga, Kibaha Vijijini Pwani Tanzania- Oktoba 21 WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi ameandika walaka kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani Assumpter Mshama akiwataka wakazi ambao wamsweka makazi katika Kijiji cha Soga eneo la Kazamoyo kuondoka kwani ni mali ya Halmashauri. Mkuu wa wilaya ametoa kauli hiyo Jumanne ya Oktoba 18 kwenye mkutano wa hadhara baada ya kusoma barua ya Waziri huyo ambapo alisema kutokana na agizo hilo ni vema wananchi hao wakatii agizo hilo, huku akitoa kipindi cha mwezi mmoja kuhakikisha wanaondoka eneo hilo... FUATILIA KWA KINA MKUTANO HUO KUPITIA PICHA HIZI.