Home » News & Politics » Vanessa Mdee alivyotumbuiza Mombasa Rocks Music Festival

Vanessa Mdee alivyotumbuiza Mombasa Rocks Music Festival

Written By Millard Ayo on Saturday, Oct 08, 2016 | 11:40 PM

 
Mwimbaji staa wa Tanzania Vanessa Mdee alikua kwenye list ya waliotumbuiza kwenye Tamasha la Mombasa Rocks Music Festival ambalo pia mgeni wake mkuu alikua Chris Brown na wengine wakiwa ni Alikiba, Wizkid na Navio.