Home » News & Politics » Wakonta Kapunda anavyoandika kwa ulimi

Wakonta Kapunda anavyoandika kwa ulimi

Written By BBC News Swahili on Friday, Aug 05, 2016 | 12:52 PM

 
Wakonta Kapunda, anaendeleleza ndoto yake ya uandishi wa filamu kwa kutumia ulimi wake, ambao ndio pia anaotumia kujibia simu na kuandika ujumbe mfupi wa simu ya mkononi.