Home » People & Blogs » Mkwasa Aipongeza Serengeti Boys

Mkwasa Aipongeza Serengeti Boys

Written By SIMU. Tv on Wednesday, Aug 24, 2016 | 03:10 PM

 
Kocha wa timu ya taifa ameipongeza timu ya vijana ya Serengeti boys na kuwaasa wachezaji wa timu hiyo kutojiingiza katika kusajiliwa na vilabu vikubwa maana hawatapata nafasi ya kucheza.