Home » Nonprofits & Activism » Kipindi Maalum: Mgogoro wa ardhi West Kilimanjaro

Kipindi Maalum: Mgogoro wa ardhi West Kilimanjaro

Written By PINGOs Forum on Thursday, Aug 18, 2016 | 05:41 AM

 
Wafgaji wa vijiji vilivyoko West Kilimanjaro hawakuwa na tabu kutumia kwa pamoja rasilimali zao na muwekezaji. Lakini hali imekuwa tofauti mara baada ya kuzuiwa kutumia rasilimali zilizo kwenye maeneo yao wenyewe. Kipindi hiki kimerushwa kna kituo cha runinga cha Star TV mwezi Juni 2016.