Home » People & Blogs » Mashindano ya Magari “Alliance Auto MMSC Rally” kumalizika leo Bagamoyo

Mashindano ya Magari “Alliance Auto MMSC Rally” kumalizika leo Bagamoyo

Written By BONGO News TV on Sunday, May 22, 2016 | 08:36 AM

 
Mashindano ya Magari “Alliance Auto MMSC Rally” kufikia tamati leo Mei 22 nje kidogo ya mji wa Bagamoyo baada ya jana Mei 21 kuanza kwa mzunguko wa kwanza kwa magari zaidi ya 15 kushindana katika kinyang’anyiro hicho. Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog-Bagamoyo