Home » People & Blogs » TOT PLUS BAND - MAZOEZINI

TOT PLUS BAND - MAZOEZINI

Written By Saluti5 on Tuesday, Apr 05, 2016 | 02:45 PM

 
Hapa ni katika ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala jijini Dar es Salaam ambapo TOT Plus Band walikuwa wakiufanyia mazoezi wimbo wao mpya kabisa "Acha Kulia" utunzi wake J Four Sukari, siku ya Jumanne 5/4/2016.