Home » Entertainment » ENEWZ 31 PROMO

ENEWZ 31 PROMO

Written By EastAfricaTV on Thursday, Mar 31, 2016 | 10:33 AM

 
Unaamini kilichomtoa 20 Percent kwenye reli ya muziki ni baada ya kushinda tuzo 5 za KTMA kwa usiku mmoja? Afande Sele afunguka kuhusu hilo na zaidi asema matumizi ya bangi ni kawaida tuu. Kwa stori zinazotrend kwenye burudani usikose eNews LEO SAA 12 JIONI. EATV PEKEE.