Home » News & Politics » Linah CCM 2015

Linah CCM 2015

Written By Wasanii wa Magufuli on Thursday, Oct 22, 2015 | 11:18 PM

 
Linah Sanga akiteleza machache machache kuhusu umuhimu wa kulinda amani yetu ya Tanzania, katika moja ya mikutano ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi -CCM 2015, kupitia mgombea wake `mh.John Pombe Magufuli. HAPA KAZI TU....