Home » News & Politics » Mgombea urais CCM Dr Magufuli ameahidi kuleta elimu bora na kuboresha huduma za afya nchini.

Mgombea urais CCM Dr Magufuli ameahidi kuleta elimu bora na kuboresha huduma za afya nchini.

Written By ITV Tanzania on Tuesday, Aug 25, 2015 | 03:28 PM

 
Mgombea wa kiti cha urais kupitia chama cha mapinduzi CCM Dr John Pombe Magufuli amewataka watanzania kumpa kura za ndio ili awe rais wa jamhuri ya mungano wa Tanzania jambo litakalompa fursa ya kuwapa watanzania elimu bora na kuboresha huduma bora za afya kwa watanzania wote bila ya kujali vipato vyao ili Tanzania iwe sehemu ya mataifa mengine kukimbilia kupata matibabu tofauti na sasa ambapo watanzania wengi wanatibiwa nje ya nchi.