Home » News & Politics » Vita dhidi ya vileo na pombe haramu vimeendelea katika maeneo mbalimbali ya humu nchini

Vita dhidi ya vileo na pombe haramu vimeendelea katika maeneo mbalimbali ya humu nchini

Written By KTN News Kenya on Sunday, Jul 05, 2015 | 05:22 PM

 
Vita dhidi ya vileo na pombe haramu vimeendelea katika maeneo mbalimbali ya humu nchini lakini kuchacha zaidi katika eneo la kati. Wakaazi wengi wa maeneo haya wameapa kuendelea na vita hivyo hadi pale watakapofaulu kuondoa kuenea kwa pombe haramu katika maeneo yao. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya