Home » Entertainment » Erick Omondi alivyovunja watu mbavu Zari All White Party

Erick Omondi alivyovunja watu mbavu Zari All White Party

Written By Millard Ayo on Saturday, May 02, 2015 | 02:31 PM

 
Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na utundu wake wa kuigiza nyimbo za Diamond kwenye video, hizi ni dakika zake alizopewa na Diamond kwenye stage.