Home » News & Politics » Saratani Ya Matiti Kwa Wanaume

Saratani Ya Matiti Kwa Wanaume

Written By Citizen TV Kenya on Sunday, Dec 28, 2014 | 01:23 AM

 
Ingawa idadi ya wanaume wanaoathirika na saratani ya matiti ni ndogo ikilinganishwa na ya wanawake, wataalam wa saratani ya matiti wanasema hata wanaume wanaathirika na ugonjwa huo na la kuogofya ni kwamba,iwapo mwanaume amepata ugonjwa huo, basi maisha yake yamo hatarini kuliko yale ya mwanamke kwa sababu ya ukosefu wa nyama za kutosha mwilini mwa mwanaume. Safi Godana na maelezo zaidi