Home » News & Politics » Bunge kuandaa kikao maalum kujadili vita dhidi ya ugaidi nchini

Bunge kuandaa kikao maalum kujadili vita dhidi ya ugaidi nchini

Written By KTN News Kenya on Thursday, Apr 10, 2014 | 03:56 PM

 
Spika wa bunge la taifa Justin Muturi ameombwa kuitisha vikao vya bunge ili kuwapa fursa wabunge kujadili vita vya serikali dhidi ya ugaidi. Na huku msako wa kuwakamata wakimbizi mtaani Eastleigh ukiendelea, viongozi wametofautiana kuhusiana na shughuli hiyo inayotekelezwa na serikali na kama anavyoarifu mwanahabari Mohamed Mahmoud, tishio jengine la bomu limeripotiwa eneo la kasarani huku kitengo cha kulipua mabomu kikitumwa kufanyia uchunguzi sanduku moja lilliloshukiwa kuwa bomu. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya