Home » News & Politics » Tiba ya saratani ya nyumba ya uzazi inayogunduliwa mapema hatimaye imepatikana nchini

Tiba ya saratani ya nyumba ya uzazi inayogunduliwa mapema hatimaye imepatikana nchini

Written By KTN News Kenya on Thursday, Mar 06, 2014 | 11:49 AM

 
Wagonjwa wa saratani inayoathiri nyumba ya uzazi sasa wamepata habari njema baada ya hospitali kuu ya kenyatta kuvumbua dawa ya kutibu saratani hiyo. Dawa hiyo ambayo awali ilitumika kwa wanaoishi na virusi vya ukiwi, ilifanyiwa utafiti kwa waathiriwa wa kike ambao waliweza kupona ugonjwa huo. Hii hapa taarifa ya mafanikio aina hio ya matibabu yaliotekelezwa na wanasayansi wa Kenya. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya