Home » News & Politics » Mwisho wa Safari

Mwisho wa Safari

Written By Citizen TV Kenya on Saturday, Jun 08, 2013 | 01:06 AM

 
Mzee mmoja aliyejichimbia kaburi ndani ya nyumba yake leo amezikwa katika kaburi hilo kwake nyumbani kijiji cha Bware, wilaya ya uriri kwenyekaunti ya Migori. Mwendazake jerim George Gard Mayienga alichimba kaburi hilo miaka 30 iliyopita akiandika kwa wosia wake kuwa ni humo anamostahili kuzikwa atakapoaga dunia na baada ya kifo chake, familia yake haikuwa na budi kufanya hivyo.