Home » News & Politics » Utunzaji wa nywele asilia

Utunzaji wa nywele asilia

Written By KTN News Kenya on Saturday, May 25, 2013 | 02:40 PM

 
Wanasema nywele kwa mwanamke ndio pambo lake au ukipenda urembo wake.lakini tukizungumzia nywele tunamaanisha za aina gani.maanake siku hizi ni pochi lako tu, ukitaka ndefu, fupi, nywele zilizowekwa kemikali na zile za kiasilia.katika makala maalum, hii leo tunaangalia urembo wa nywele asilia ukilinganisha na zile za kuwekwa kemikali au ukipenda nywele bandia kichwani maarufu kama wigi au weave. Nywele zisizoongezwa chchote zina urembo wake, kama kina dada fulani walivyomsimulia Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya