Home » News & Politics » Sabodo: Chadema Imenipa Heshima Kubwa; Nitawajengea Ofisi ya Kisasa.

Sabodo: Chadema Imenipa Heshima Kubwa; Nitawajengea Ofisi ya Kisasa.

Written By chadematv on Monday, Apr 30, 2012 | 04:05 PM

 
Mfanyabiashara Mashuhuri Mustapha Sabodo akizungumza na Wajumbe wa Baraza Kuu la Chadema katika Hoteli ya Mbezi Garden tarehe 29April 2012. Sabodo pamoja na mambo mengine amesema Chadema sio Chama cha Udini na atakijengea Ofisi ya Kisasa.