Home » News & Politics » FULL VIDEO: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Airport Terminal 3

FULL VIDEO: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Airport Terminal 3

Written By Millard Ayo on Wednesday, Feb 08, 2017 | 02:13 PM

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo February 08 2017 amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (Terminal 3) na kuagiza shughuli za ujenzi wa uwanja huo ziendelee kuanzia kesho.

Download:

Download Download as MP3 Download as MP4