Home » News & Politics » Msichana wa Kihindi aamua kumpenda Mbukusu licha ya kukatazwa na wazaziwe

Msichana wa Kihindi aamua kumpenda Mbukusu licha ya kukatazwa na wazaziwe

Written By KTN News Kenya on Tuesday, Jul 29, 2014 | 02:35 PM

 
Mapenzi hayana mipaka ya dini, rangi au hata ukwasi. Kauli hii imejitokeza wazi katika kijiji cha Nangina huko Webuye, ambapo wapenzi 2 wamewashangaza wengi kwa kuwa na uhusiano wa aina yake. Sarika Patel mwenye asili ya kihindi amempenda mpenzi wake wa miaka 4 Timothy Khamala ambaye ni mbukusu. Mwanahabari Francis Ontomwa anasimulia hadithi ya mahaba baina ya sarika na Timothy Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya